Bima hii inatozwa kiwango baada ya Kampuni ya Takaful (Albaraka au ZIC Takaful) kufanya tathmini yao juu y ahali ya nyumba. Wakishatujulisha, sisi tutakukatia bima yako