Comprehensive and ethical vehicle protection ensuring mutual support against accidental loss, road damages, and third-party liabilities.
Bima ya gari comprehensive ni mpaka watoa Bima ya Takaful (Albrakah Takaful au ZIC Takaful) waje kuifanyia tathmini gari yako kama ni kuukuu.
Kama gari ni mpya, hawafanyi tathmini bali hutoza kwa viwango vyao. Sisi Yusra Takaful tutajulishwa na wao kisha tutakujulisha wewe mteja.